Moscow: Zelensky ‘ana kichaa’ kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema mwito wa Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky wa kutaka Kyev ipewe silaha za nyuklia na shirika la kijeshi la NATO unatia wasiwasi mkubwa.