Mohammed Iqbal Dar: Mjue mbunifu wa jina ‘Tanzania’ aliyeaga dunia

Kwa zaidi ya miaka 10 Iqbal Dar amekuwa akisumbuliwa na maradhi yaliyomfanya ashindwe kutembea.