Mnada wa kwanza wa Msimu mpya wa mauzo ya ufuta wa mwaka 2025/2026 wazinduliwa rasmi leo June 9, mkoani Lindi katika Kijiji cha Ruhokwe, Kata ya Mnolela, Halmashauri ya Mtama na Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao, ambapo tani 3,113 zimeuzwa kwa bei ya juu ya shilingi 2,710 na bei ya chini ikifikia shilingi 2,510.
#AzamTVUpdates
✍ Omari Mikoma
Mhariri | @official_jennifersumi