Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wajasiriamali wanawake, vijana na wenye ulemavu kutambua vigezo vya mikopo ya …

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wajasiriamali wanawake, vijana na wenye ulemavu kutambua vigezo vya mikopo ya …

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wajasiriamali wanawake, vijana na wenye ulemavu kutambua vigezo vya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri nchini ili kutambua nafasi zao za kukopa na kurejesha ili wanufaike na Shilingi Bilioni 5 zilizotengwa kwa mwaka huu katika halmashauri ya jiji la Dar es Salaam.

Mpogolo ametoa rai hiyo wakati wa kongamano la Jukwaa la Wanawake Wajasiriamali wa halmashauri hiyo lililofanyika uku,mbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na wajasiriamali hao, viongozi wa serikali, wataalamu wa fedha na uchumi sambamba na baadhi ya viongozi wastaafu.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *