Mkuu wa WHO: Uongozi wa Kiafrika uko imara katika nyanja nyingi za afya duniani

Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha kuwa uongozi wa Afrika una nguvu katika nyanja nyingi za afya duniani.