Mkuu wa Wakala wa Nishati ya Atomiki wa UN: Iran haina silaha za nyuklia

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran; na pamoja na kueleza kwamba japokuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina akiba kubwa ya urani iliyorutubishwa lakini haina silaha za atomiki, ametaka kuharakishwa mchakato wa kutatua masuala ya usimamizi wa mradi wake wa nyuklia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *