Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema, kuitetea na kuiunga mkono Ghaza ni jukumu la watu wote, na akatoa wito kwa mataifa ya Kiislamu na wanazuoni wa Kiislamu kuwasaidia ndugu zao wanaodhulumiwa huko Palestina na katika Ukanda wa Ghaza, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza jinai zake dhidi yao.
Related Posts
Kenya inazungumza na Thailand juu ya kuwarejesha raia 64 waliokwama Myanmar
Kenya inafanya mazungumzo na Serikali ya Thailand ili kufungua tena mpaka wa nchi hiyo na Myanmar, ikitaka kuwahamisha raia 64…
Kenya inafanya mazungumzo na Serikali ya Thailand ili kufungua tena mpaka wa nchi hiyo na Myanmar, ikitaka kuwahamisha raia 64…
HAMAS waitunishia misuli Israel kwa kutokeza hadharani na bunduki zake walizoteka Oktoba 7, 2023
Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa…
Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa…
Ujio wa Trump; Marekani yawakamata na kuwafukuza mamia ya wahamiaji
Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House ya Marekani amefichua kuwa, katika wiki ya kwanza ya urais wa Donald…
Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House ya Marekani amefichua kuwa, katika wiki ya kwanza ya urais wa Donald…