Mkuu wa ujasusi Israel akiri Iran “imejipenyeza kwa kina”, amlaumu Netanyahu 

Kiongozi wa shirika la ujasusi wa ndani la utawala wa Israeli amesema Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye anayepaswa kulaumiwa kutokana na matatizo makubwa ya utawala huo, ikiwemo usimamizi mbovu uliosababisha kile alichotaja kuwa “upenyaji wa kina” wa Iran kwenye taasisi za kiusalama na kijasusi za Israel. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *