Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amewataka wamiliki wa mashine za kusaga nafaka mkoani humo kuanza kufunga mashine za ku…

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amewataka wamiliki wa mashine za kusaga nafaka mkoani humo kuanza kufunga mashine za ku…

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere amewataka wamiliki wa mashine za kusaga nafaka mkoani humo kuanza kufunga mashine za kuongeza viini lishe kama sehemu ya mikakati ya kupambana na udumavu kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano mkoani humo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *