Mkuu mpya wa jeshi la Israel ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni vinakosa nguvu kazi na rasilimali za kutimiza malengo ya kujitanua ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, na kusema kuwa Hamas inaendelea kuudhibiti ukanda huo, mwaka mmoja na nusu baada ya kuzuka kwa vita hivyo.
Related Posts
Sweden waandamana kupinga mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina Gaza
Mpango usio wa kibinadamu wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika Ukanda wa Gaza umeendelea kupingwa…
Mpango usio wa kibinadamu wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika Ukanda wa Gaza umeendelea kupingwa…
Korea Kaskazini yalaani uchokozi wa kijeshi wa Marekani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imelaani vikali uchokozi wa kisiasa na kijeshi wa Marekani baada ya meli…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imelaani vikali uchokozi wa kisiasa na kijeshi wa Marekani baada ya meli…
Mustakbali uliogubikwa na kiza wa Syria; wafuasi wa al Julani wazidi kuua raia
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika…
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika…