Mkuu wa IEBC aliyesimamia uchaguzi wa kwanza Kenya kubatilishwa na mahakama afariki

Wafula Wanyonyi Chebukati, aliyesimamia uchaguzi wa urais uliobatilishwa na Mahakama mwaka 2017 na 2022 ulioigawanya Tume Huru ya Uchaguzi n na Mipaka ( IEBC) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.