Mkuu wa haki za binadamu wa UN atadhaharisha juu ya hali mbaya ya mgogoro nchini Sudan

Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi aligusia mzozo unaozidi kuongezeka nchini Sudan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa ili kuzuia ukatili zaidi, njaa na watu wengi kuhama makazi yao.