Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Kazan: Kifarsi, ni lugha ya pili ya Waislamu nchini Russia

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Kazan huko Russia amesema kuwa Kifarsi ni lugha ya pili inayotumiwa na Waislamu nchini humo.