Mkutano wa Mazungumzo ya Syrian waitaka Israel kuondoa kwenye ardhi ya nchi hiyo

Mkutano wa Kitaifa wa Mazungumzo ya Syria umeitaka Israel kuondoa katika ardhi ya nchi hiyo, na kusisitiza udharura wa kulindwa umoja wa ardhi ya Syria na kupinga kugawanywa nchi hiyo.