Siku mbili baada ya kufedheheshwa Rais Zelensky wa Ukraine katika Ikulu ya White House na suala hilo kuakisiwa pakubwa kimataifa, viongozi wa nchi 19 za Ulaya, Canada na maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya na muungano wa NATO wamekutana mjini London kwa ajili ya kutangaza mshikamano wao na Ukraine katika vita vyake na Russia.
Related Posts
Mashirika ya haki za binadamu yatahadharisha kuhusu amri ya Trump ya kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Wanaharakati wa haki za kiraia wameitaja amri mpya ya kiutendaji iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani inayowazuia raia wa…
Wanaharakati wa haki za kiraia wameitaja amri mpya ya kiutendaji iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani inayowazuia raia wa…
Waziri Mkuu wa Qatar: Diplomasia ndiyo njia bora ya kushirikiana na Iran
Waziri Mkuu wa Qatar ameitaka Marekani kurejea katika meza ya mazungumzo na kufikia makubaliano mapya kuhusu suala la nyuklia la…
Waziri Mkuu wa Qatar ameitaka Marekani kurejea katika meza ya mazungumzo na kufikia makubaliano mapya kuhusu suala la nyuklia la…
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Sayyed Nasrullah ni kielelezo cha ushujaa na muqawama
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Aziz Nasirzadeh, amesema kuwa, Katibu Mkuu wa Hizbullah, Shahidi…
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Aziz Nasirzadeh, amesema kuwa, Katibu Mkuu wa Hizbullah, Shahidi…