Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi wa Afrika Mashariki (EAPCE’25) waanza Dar

Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha zinazokusanywa ili kuwekeza katika sekta ya nishati safi.