Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Hakuna ushahidi kwamba, Iran inatengeneza silaha za nyuklia

Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa, hakuna ushahidi wa kuthibitisha kwamba, Iran inatengeneza silaha za nyuklia.