‘Mke wangu anahofia unyumba, mimi naogopa kufa’ – Athari za kufungiwa USAID

Licha ya Marekani kuruhusu misaada ya kiutu kuendelea kutolewa, huduma za kuokoa maisha zilizokuwa zikifadhidliwa na USAID hazijarejeshwa.