Mjumbe wa Mahakama ya ICC: Kesi ya kuchunguza uhalifu wa Netanyahu inaendelea

Mjumbe wa timu ya wanasheria wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amekosoa kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump cha kumkaribisha Benjamin Netanyahu mjini Washington na matamshi yake ya karibuni kuhusu Wapalestina wa Gaza, na kumtaja kiongozi huyo wa Marekani kuwa mtumishi wa mradi wa Israel.