Mjumbe wa Iran IAEA: Kampeni ya mashinikizo ya Magharibi dhidi ya Iran haina tija

Balozi na Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameonya kuwa, mkakati wa Magharibi wa kutoa mashinikizo kwa Tehran na kuilazimisha kutekeleza kwa upande mmoja majukumu ya kinyuklia “sio tu kwamba haufanyi kazi bali pia hauna tija” .