Mjukuu wa Imam Khomeini: Kama Mapinduzi ya Kiislamu yasingekuwepo, HAMAS nayo isingelikuwepo wala hamasa yake

Mjukuu wa Imam Khomeini MA mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: “Si haki kusema kwamba kukua na kustawi makundi ya Muqawama na mapambano ya Kiislamu kama HAMAS, hakukuathiriwa moja kwa moja na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran yaliiyoongozwa na Imam Khomeini MA.”