Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa inatarajiwa mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yataanzisha awamu mpya itakayosaidia kuimarisha amani na kupunguza mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla hususan Ukanda wa Gaza.
Related Posts
Makumi ya wapiganaji wa ISIS wauawa katika mapigano na vikosi vya Puntland, Somalia
Makumi ya wanamgambo wa ISIS wameuawa katika makabiliano makali na vikosi vya usalama katika eneo linalojitawala la Puntland huko Somalia…
Makumi ya wanamgambo wa ISIS wameuawa katika makabiliano makali na vikosi vya usalama katika eneo linalojitawala la Puntland huko Somalia…
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon…
Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon…
Uungaji mkono wa Marekani kwa hatua ya utawala wa Kizayuni dhidi ya UNRWA
Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini…
Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini…