Misri: Haiwezekani kupuuza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu dhidi ya Israel

Mwakilishi wa Misri katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amesema: “Katika muda mrefu, haiwezekani kupuuza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, kama chombo kikuu cha mahakama cha Umoja wa Mataifa.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *