Misafara ya askari, silaha za Marekani yaingia Ain al-Asad, Iraq ikitokea Syria

Jeshi la Marekani limeripotiwa kutuma misafara mingi ya malori yaliyobeba wanajeshi, silaha na zana kivita, pamoja na suhula za kilojistiki kutoka ndani kabisa ya Syria hadi katika kambi kubwa ya anga ya Ain al-Asad katika jimbo la Anbar nchini Iraq, ambayo ina wanajeshi na wakufunzi wa Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *