Miripuko, moto mkubwa katika mji wa bandari wa Port Sudan nchini Sudan

Miripuko mingi imesikika na moto mkubwa umezuka katika mji wa bandari wa Port Sudan, huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi nchini Sudan vikiendelea katikak mji huo ambao huko nyuma ulikuwa na utulivu angalau wa siku ya tatu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *