Miili 105 ya wahamiaji ‘haramu’ iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024

Miili 105 ya wahamiaji ‘haramu’ iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024

Jumla ya miili 105 iliopolewa kutoka baharini pwani ya Senegal mwaka 2024 baada ya kupinduka kwa mitumbwi yao iliyohusishwa na uhamiaji ‘usio wa kawaida’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *