Migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini inaendelea kuwa changamoto huku wananchi wengi wakiwa hawana uelewa wa kisheri…

Migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini inaendelea kuwa changamoto huku wananchi wengi wakiwa hawana uelewa wa kisheri…

Migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini inaendelea kuwa changamoto huku wananchi wengi wakiwa hawana uelewa wa kisheria wa kutatua shida hiyo.

Haya yamebainishwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Msaada wa Kisheria wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ester Msambazi, wakati akizungumzia juu ya zoezi la msaada wa kisheria linalojulikana kama Samia Legal Eid linalotarajiwa kuzinduliwa Juni 16 mwaka huu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

#AzamTVUpdates
✍Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *