#MICHEZO:Timu ya KMC imeshinda kesi dhidi ya Simba kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, hivyo Awesu Awesu ni mchezaji …

#MICHEZO:Timu ya KMC imeshinda kesi dhidi ya Simba kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, hivyo Awesu Awesu ni mchezaji halali wa KMC na kama Simba SC inamuhitaji mchezaji huyo izungumze na klabu yake.

Kamati imetoa onyo kwa Simba SC na kusisitiza ifuate taratibu pale inapohitaji kusajili mchezaji.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

(Feed generated with FetchRSS)