#MICHEZO:Shindano la Kukuna nazi kwa wanaume na wanawake, limekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki na washiriki wa mbio za mwanam…

#MICHEZO:Shindano la Kukuna nazi kwa wanaume na wanawake, limekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki na washiriki wa mbio za mwanamke “Afya Fun Run” msimu wa pili zilizofanyika katika uwanja wa Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Lengo la mbio hizo ni kuchangia bima za afya kwa wanawake.