#MICHEZO: Wawakilishi wa Timu ya waogeleaji wa Tanzania kwenye michuano ya Olimpiki ya Paris 2024, Collins Phillip Saliboko na S…

#MICHEZO: Wawakilishi wa Timu ya waogeleaji wa Tanzania kwenye michuano ya Olimpiki ya Paris 2024, Collins Phillip Saliboko na Sophia Anisa Latiff, wakiwa katika mazoezi makali chini ya kocha wao Alexander Harrison Mwaipasi jijini Paris.