#MICHEZO: Wasanii wakongwe wa Bongofleva zaidi ya 20, wanatarajiwa kufanya matamasha makubwa ya muziki katika mikoa mbalimbali y…

#MICHEZO: Wasanii wakongwe wa Bongofleva zaidi ya 20, wanatarajiwa kufanya matamasha makubwa ya muziki katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na nje ya nchi , kwa ajili ya kuendeleza muziki na kutangaza fursa mbalimbali za utalii na biashara zinazopatikana nchini Tanzania , kupitia sanaa yao.