#MICHEZO: Vipaji vya kipekee vimeonekana katika mashindano ya wazazi super cup mkoa wa dar es salaam huku wakisema imekuwa fursa…

#MICHEZO: Vipaji vya kipekee vimeonekana katika mashindano ya wazazi super cup mkoa wa dar es salaam huku wakisema imekuwa fursa pekee ya kuunga mkono juhudi za rais samia suluhu katika uwekezaji kwenye michezo.

Hayo yamebainishwa na Bw. Ally Hapi, Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM na Khadija Ally Saidi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, wakati wa fainali ya Wazazi Super Cup.

(Feed generated with FetchRSS)