#MICHEZO: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limekabidhi mipira mia tano kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jacob John Mkunda, kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji katika Akademi za Jeshi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa kwa mwezi machi mwaka huu Jijini Dar es Salaam.