#MICHEZO: Niva Lazaro ‘Mchungaji’ wa Simba amejikuta akishusha maombi kwa klabu ya Simba na amesema Msimu huu Simba itashinda ub…

#MICHEZO: Niva Lazaro ‘Mchungaji’ wa Simba amejikuta akishusha maombi kwa klabu ya Simba na amesema Msimu huu Simba itashinda ubingwa kabla ya mechi hazijamalizika.

Mchungaji ameshusha maombi kwa wachezaji wapya ili wasipigwe misumari na akiahidi kumuwekea mikono Mwekezaji wa Simba MO DEWJI, ili Msimu mpya vilio Msimbazi visiwepo.