#MICHEZO: Mwenyekiti wa Matawi ya Simba Temeke Fortnatus John, amejitokeza hadharani kufuta kauli yake ya kumweka Clatous Chama, katika daraja la juu akisema Simba ya sasa wachezaji kama Chama wako wengi, ndio maana Chama alijua atasotea benchi akaamua kuikimbia Simba.
Fortnatus amesema kwa Simba ya sasa Chama ni kama pilipili hoho kwenye mchuzi ikikosekana hakuna hasara.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania