#MICHEZO: Katika kuadhimisha Kilele cha Wiki ya Wananchi, mashabiki wa timu ya Yanga, Tawi la Usa River, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, wametoa misaada mbalimbali ya kujikimu kwa wagonjwa katika Hospital ya Wilaya ya Meru, pamoja na kuchangia damu ikiwa ni mmoja ya kusherekea siku hiyo.