Miaka 77 baada ya Siku ya Nakba; jinai zisizo na kikomo za Wazayuni na muqawama imara wa Wapalestina

Ni miaka 77 imepita sasa tangu Siku ya Nakba. Jinai za Wazayuni zinazidi kushika kasi mno, na Wapalestina wanaendelea kusisitiza muqawama na kusimama kidete.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *