Mgogoro mkubwa katika jeshi la Israel; Kwa nini wanajeshi wa utawala huo wanatoroka?

Barua ya malalamiko ya marubani wa Jeshi la Anga la Israel na uungaji mkono wa askari wa vitengo vingine kwa hatua hiyo ni kengele ya hatari kuhusu uwezekano wa kuenea uasi miongoni mwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *