Uamuzi wa Ikulu ya mkoloni kizee Ufaransa wa kumrejesha nyumbani balozi wake wa nchini Algeria na kuwafukuza wanadiplomasia 12 wa Algeria nchini humo umezidisha moto wa mgogoro kati ya Paris na Algiers ambapo afisa mmoja wa Algeria amesema kuwa, Ufaransa ndiyo inayopaswa kulaumiwa kwa kuzorotesha uhusiano wake na Algiers.
Related Posts
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Trump hatafikia malengo yake kuhusiana na Iran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatoa vitisho na…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatoa vitisho na…
Waziri Mkuu wa Yemen: Hizbullah imempigisha magoti adui Mzayuni
Waziri Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi ya Yemen amesema kuwa Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah, imempigisha magoti…
Waziri Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi ya Yemen amesema kuwa Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah, imempigisha magoti…

Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania wakamatwa
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…