Mfumuko wa bei Kenya waongezeka kwa mwezi wa nne mtawalia

Kenya inakabiliwa na mfumuko wa bei za bidhaa ambapo mfumuko huo umeripotiwa kuongezeka kwa mwezi wa nne mtawalia.