#MEZAHURU: Wiki ya Nenda kwa Usalama. Tunaangalia kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Je watumiaji wa vyombo vya moto wamepokeaje zoezi zima la ukaguzi wa vyombo vya moto? Pia tunaangalia juu ya jeshi la polisi kutoa elimu na kukagua vyombo vya moto. Mikakati ya kupunguza ajali za barabarani.
(Feed generated with FetchRSS)