#MEZAHURU: Matamasha na Vilabu. Tunaangalia uwepo matamasha makubwa kabla ya kuanza msimu wa soka una faida zipi kwa vilabu husika. Matamasha haya hutumika kutambulisha wachezaji waliosajiliwa. Je mapokezi yake hasi au chanya kwa wapenzi na wanachama yaashiria nini? Je, vilabu vingine vidogo viige nini kitokana na matamasha haya