#MEZAHURU: Dansi na Soko la sasa

#MEZAHURU: Dansi na Soko la sasa. Ipi sababu ya bendi nyingi kuanzishwa ikiwa na wanamuziki walewale kwanini wasichukue damu changa? Je,ni nini walaji wa mwisho wanahitaji toka muziki wa dansi?