#MEZAHURU: CHATI CHUNGU

#MEZAHURU: CHATI CHUNGU. Tunaangalia juu ya Teknolojia mpya inayomruhusu mama kujifungua kwenye maji, mbele ya mwenza wake. Je uhitaji wa aina hizi za kujifungua ukoje? Je maeneo husika kwa kujifungulia kwa aina hii ni ya kutosha? Je hali za maeneo ya kujifungulia maeneo ya vijijini yapo vipi?