
Iran Villarreal Belmont, mwanasheria, amekuwa anaendesha ukurasa wa Facebook wa habari za ndani huko San Luis de la Paz, katika jimbo la kati la Mexico la Guanajuato.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Amepatikana ameuawa, ofisi ya mwendesha mashtaka imetangaza siku ya Ijumaa Machi 14, 2025. Mgombea wa baraza la jiji mwaka jana kwa chama cha mrengo wa kati cha Movimiento Ciudadano, amekuwa anaendesha ukurasa wa Facebook unaoitwa “Citizen Observatory” ambamo amekuwa aakichambua maisha ya wenyeji katika jiji hili la karibu wakaazi 52,000.
Kulingana na vyanzo vya polisi, alitekwa nyara siku ya Alhamisi jioni na watu waliokuwa na silaha ambao walivamia afisi yake. Mwili wake uliokuwa na risasi ulipatikana Ijumaa asubuhi kando ya barabara.
Habari zaidi zinakujia…