MENEJA WA AHOUA AVUNJA UKIMYA: BADO KABISA HAJAFIKA KIWANGO CHAKE, ATAKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI?


PRIME

Maujanja ya Simba yapo hapa

SIMBA ya msimu huu chini ya Kocha Fadlu Davids imeonekana moto, ikiusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kulikosa kwa misimu mitatu mfululizo, lakini ikiwa timu pekee iliyosalia katika michuano…