Meli za kivita za Russia na China zafika Iran kwa mazoezi makubwa ya pamoja ya kijeshi

Meli za kivita za Russia na China zimewasili katika maji ya eneo la Iran kaskazini mwa Bahari ya Hindi kushiriki katika mazoezi makubwa ya pamoja ya wanamaji yanayojulikana kama Mkanda wa Usalama 2025 (Security Belt-2025), ambayo yatashirikisha vitengo mbalimbali kutoka mataifa haya matatu yenye nguvu za kijeshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *