#MCHEZOSUPA: Mshindi wa milioni 10 kutoka #Mchezosupa Bi. Asia Rajabu, akizungumza mapema kwenye uzinduzi wa kampeni mpya ya #Jichaguliezaidi.
–
Bi. Asia amezungumza kwa nini hajachukua zawadi ya gari na badala yake alichagua zawadi ya pesa taslimu Shilingi milioni 10/=
–
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
KUMBUKA: Kushiriki ni miaka 18 na kuendelea vigezo na masharti kuzingatiwa #MchezoSupa, chaguo ni lako.