#MCHEZOSUPA: Mshindi wa gari aina ya Toyota IST kutoka #Mchezosupa Ramadhani Swalehe, akizungumza mapema kwenye uzinduzi wa kampeni mpya ya #Jichaguliezaidi.
–
Bw. Ramadhani ameelezea namna alivyojishindia gari lake aina ya Toyota IST, kutoka #mchezosupa na namna ushiriki wake ulivyokuwa.
–
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
KUMBUKA:Kushiriki ni miaka 18 na kuendelea vigezo na masharti kuzingatiwa #MchezoSupa, chaguo ni lako.