#MCHEZOSUPA: Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na gamu imefika, Eeeeh yani tarehe za maokoto na mwisho wa mwezi ndo huu, #MchezoSupa tunasema Kibosi Zaidi… Mchongo uko hivi kuna Zawadi ya Boda Boda 3, Milioni 10 na gari aina ya IST….
–
Sikia sasa Mchongo uko hivi.. 👇
Chukua simu yako alafu fuata haya maelekezo….👇
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
KUMBUKA: Kushiriki ni miaka 18 na kuendelea vigezo na masharti kuzingatiwa #MchezoSupa, chaguo ni lako.